Home
Unlabelled
hii ni hatari sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
poa tu mwendo mdundo ndio bongo hiyo viongozi wenyewe hawafati sheria sasa waliobaki kwanini wasiendeleze.
ReplyDeletePolisi wanafanya nini bongo?
ReplyDeletewache wamalizane wee wako wengi sana bongo na hawana maana pesa 2
ReplyDeleteWewe mdau wa tatu una akili timamu wewe?
ReplyDeleteUnajuaje nani ataathirika kwenye ajali ambayo itajitokeza? Fikiria vizuri inawezekana ukasikia ndugu yako, mama yako au baba yako amepata ajali utafurahia?
Wacha kushabikia mambo ya kijinga.
Duh!, Magufuli yupo wapi?. Nakumbuka kuna wakati alikataa zile boti kusafirishwa kwa ajili ya usalama wa barabara na watumiaji pia.
ReplyDeleteUnder any standard hairuhusiwi kitu chochote ambacho ni kikubwa zaidi ya lane moja kutumia barabara unless all safety measures has been take including the closure of the Road to other users.
mradi limefika mikumi litamaliza tu safari.ajali ikitokea bongo huwa tunasema ni mipango ya mungu.binadamu tanzania hana kosa kwenye ajali ila mungu aliyependa ajali itokee.
ReplyDeleteHapo nyuma kuna warning kuwa kuna wide load na pia mbele huwa kunakuwa na gari la Patrol linatangulia na warning kwamba nyuma kuna gari lina wide load hivyo dereva anatakiwa kuwa na tahadhari. Gari kama hili linapata kibali kutoka wizara ya TANROAD(Ujenzi) kabla ya kuanza safari. sasa shida ni sisi wenyewe huwa hatuchukulii maanani warning kama hizi! Safari njema
ReplyDeleteinaonekana hukuangalia vizuri barabarani hizo gari ni lazima iende na escort na inakuwa na bendera nyekundu. pia kibali kinaombwa ukipata ruhusa inaandikwa kwa gazeti la serikali kujulisha na taarifa pia trafic maeneo husika na muda hizo gari kupita wanapewa taarifa.
ReplyDeleteLilitakiwa kuwa na escoter na fikiria limepita mizani na limepita matrafik wangapi!Nihatari bongo akili yako!
ReplyDeleteDuh hata kama kuna VIASHITIA vya hatari,iwe mbele au nyuma,ZIGO hili ni kubwa sana kwa kiwango au vipimo vya barabara zetu,ina maana siku nzima other users lazima wapaki pembeni,hii ni balaa,na utakuta linakatiza tu mpaka Zambia huko kwa VG CENT
ReplyDelete