kaka,
nipo safarini kuelekea Mbeya, picha hii nimepiga kwa simu yangu ya mchina. Hilo ni lori barabara ya mikumi limejaa barabara yote na kupishana haiwezekani. i can imagine mabasi yanayoenda kwa speed 140 itakuaje. NI HATARI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2012

    poa tu mwendo mdundo ndio bongo hiyo viongozi wenyewe hawafati sheria sasa waliobaki kwanini wasiendeleze.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2012

    Polisi wanafanya nini bongo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 16, 2012

    wache wamalizane wee wako wengi sana bongo na hawana maana pesa 2

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2012

    Wewe mdau wa tatu una akili timamu wewe?

    Unajuaje nani ataathirika kwenye ajali ambayo itajitokeza? Fikiria vizuri inawezekana ukasikia ndugu yako, mama yako au baba yako amepata ajali utafurahia?

    Wacha kushabikia mambo ya kijinga.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2012

    Duh!, Magufuli yupo wapi?. Nakumbuka kuna wakati alikataa zile boti kusafirishwa kwa ajili ya usalama wa barabara na watumiaji pia.

    Under any standard hairuhusiwi kitu chochote ambacho ni kikubwa zaidi ya lane moja kutumia barabara unless all safety measures has been take including the closure of the Road to other users.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2012

    mradi limefika mikumi litamaliza tu safari.ajali ikitokea bongo huwa tunasema ni mipango ya mungu.binadamu tanzania hana kosa kwenye ajali ila mungu aliyependa ajali itokee.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2012

    Hapo nyuma kuna warning kuwa kuna wide load na pia mbele huwa kunakuwa na gari la Patrol linatangulia na warning kwamba nyuma kuna gari lina wide load hivyo dereva anatakiwa kuwa na tahadhari. Gari kama hili linapata kibali kutoka wizara ya TANROAD(Ujenzi) kabla ya kuanza safari. sasa shida ni sisi wenyewe huwa hatuchukulii maanani warning kama hizi! Safari njema

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2012

    inaonekana hukuangalia vizuri barabarani hizo gari ni lazima iende na escort na inakuwa na bendera nyekundu. pia kibali kinaombwa ukipata ruhusa inaandikwa kwa gazeti la serikali kujulisha na taarifa pia trafic maeneo husika na muda hizo gari kupita wanapewa taarifa.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2012

    Lilitakiwa kuwa na escoter na fikiria limepita mizani na limepita matrafik wangapi!Nihatari bongo akili yako!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2012

    Duh hata kama kuna VIASHITIA vya hatari,iwe mbele au nyuma,ZIGO hili ni kubwa sana kwa kiwango au vipimo vya barabara zetu,ina maana siku nzima other users lazima wapaki pembeni,hii ni balaa,na utakuta linakatiza tu mpaka Zambia huko kwa VG CENT

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...