Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga, Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akiagana na Balozi wa Zambia hapa nchini, Judith Kangoma-Kapijimpanga, baada ya mazingumzo yao leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na ujumbe wake (kulia) wakizungumza na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo, Conceita Sortane (wapili kushoto) katika ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Mei 4, 2012. Kulia ni Balozi wa Msumbiji hapa nchini Amour Zacharias Kupela. na Kushoto ni Mjumbe wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye.
Mukama akimpa zawadi ya kofia mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo baada ya mazungumzo hayo.
Mukama akimpa zawadi ya kofia mjumbe huyo wa Kamati Kuu ya Chama Cha Frelimo baada ya mazungumzo hayo.
Mukama akiagana na Conceita na Nape akiagana na Balozi Kupela.
Hii safi sana jirani zetu wana imani na sisi yaani CCM.
ReplyDelete