Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, Ofisini kwake jijini Da es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU), Bw. Filberto Sebregondi, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...