![]() |
SARAH LUTHER GELLEGE 1962----2011 |
Kwakweli pengo uliloliacha KAMWE halitazibika. Kimwili haupo nasi lakini tunaamini kiroho tupo pamoja. Tulikupenda sanaaaa mama lakini MUNGU anakupenda zaidi!!
Hatuna la zaidi, zaidi ya kumshukuru sana tu MUNGU kwani neno lako linatufundisha kumshukuru MUNGU kwa kila jambo!
Unakumbukwa sana na wanao Luther(Mtua), Lamson(Ipyana) na Ruth.Pia unakumbukwa sana na dada'ko,kaka'zo,wadogo'ko,
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake Lihimidiwe.
AMINA
R.I.P Mama mdogo, tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi, hakika tutaendelea kukukumbuka na kuzienzi busara zako mpaka siku tutakayokutana Mbinguni tukiimba na kuzunguka pamoja na Malaika.
ReplyDeleteMazila
Poleni sana ndugu na familia kwa kupoteza mtu mpenzi kwenu na jamii yane.
ReplyDeleteHiyo ndio kudra yake Mwenyezi Mungu.... ametutangulia tu na sie sote hatuwezi kuepuka safari hii. RIP.
Nina uliza huyu marehemu ana uhusiano gani na Mr. Luther Martin Gellege, ni classmate wangu, class of 1969... Dodoma Alliance Sec School.
Je huyu mzee bado yupo? Kuna simu ninayoweza kumpata?
Asanteni na samahani kwa usumbufu. Pia poleni tena kwa msiba wa mpendwa wenu.
Mungu amuweke pema peponi.