Jumuiya ya Watanzania Uholanzi inapenda kuwaalika Watanzania wanaoishi Uholanzi kwenye hafla ya "Siku ya Muungano 2012 (Muungano Day 2012)" itakayofanyika tarehe 19 Mei, 2012, Utrecht (Pahud de mortangesdreef 63-67, 3562 AB Utrecht). Tunategemea uwepo wa Balozi wa Tanzania.
Shughuli itaanza saa kumi jioni. Kiingilio ni bure lakini watakaohudhuria wanaombwa kuwataarifu waandaji kupitia barua pepe: ifoza@ifoza.nl, au simu: . Soma kipeperushi kwa taarifa zaidi.
Tunatanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano wenu.
Ifoza Foundation & TANE (Tanzanian Association in the Netherlands).

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...