Karibuni sana ndugu zangu kwenye blog yangu( mapishinacecy.blogspot.com)
tujifunze mapishi mbalimbali. BOFYA HAPA
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante mdada kwa mapishi ila duuu hiyo sukari na mafuta! sijui siagi baada ya miaka kadhaa vitajibu!
ReplyDeleteSasa sijajua unatumia lugha gani hasa, najaribu kufuata lakini unaniacha mwenzio. Hicho n Kiswahili? Aaaaa haya weee! Unayaweza mama wa jikoni! Ya rabi salama ndizi hizo yaani uaweka mafuta kikombe cha chai!!!!!!!!!!!!!!!. Basi basi basi, nimeshiba. Sasa mzee yupo au nitupe ndoano? Hayo ya mafuta na sukari ni madogo tu ilimradi unanipikia kila siku! unasemaje??
tunashukuru kwa mapishi. ila ni vyema pia kanuni nyingine zikazingatiwa kama vile kufunika nywele zako vizuri.
ReplyDeleteasante
Naomba nimuelewesha huyu dada, hauwezi kabisa kutumia hand blender kwenye bakuri la bati, ni lazima utumie bakuri la plastic au glass. je hajafundishwa kwenye shule ya upishi?
ReplyDelete