Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Spika wa zamani wa Bunge la Marekani,Mh. Nancy Pelosi (kushoto) na Mbunge Dennis Kucinich mara baada ya kukutana nao na kufanya nao mazungumzo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2012

    Zitto mbona umejikunyata kama unaogopa vile, put your head up, assume a confident body language, Nancy is one heck of a tough lady.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2012

    Rais wetu mtarajiwa kupitia ticket ya chama cha demokrasia na maendaleo (chadema) ...tunakuamini tunakuhitaji
    peoples power - m4c !

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2012

    HAYA SASA MSHINDANE HUKO KWA OBAMA SASA. BROTHER ZITTO NA WEWE TANGAZA SERA ZAKO HAPO ZA CHADEMA MPAKA HUYO BARAKA AKUELEWE , KWA SABABU WEWE NI MDEMOKRASIA BASI UTASIKILIZWA KWA MASIKIO YOTE HAPO. ONGEA UKWELI BILA UOGA HAPO ILI TUWEZE KUJITOA NA SISI WA KIGOMA WAMAREKANI WAJE WEKEZA ILI TUPATE KAZI NA MKOA WETU UENDELEE SIO WA KUWA NYUMA KILA SIKU KAMA BEHEWA LA TT-

    KIGOMA OYEE

    Mdau washington

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2012

    duh hiyo picha itamuumiza sana mbowe na slaa,..watatafuta namna ya kumchafua tu kupitia gazeti lao la udaku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...