Afisa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Fred Manyika akiajiandaa kuwasilisha mada kwa niaba ya nchi zinazoelendea kuhusu mkakati wa kupunguza gesi joto utokanano na upandani jiti na utunzaji misitu, katika mkutano wa kimataifa wa sayansi na taaluma ya mabadiliko ya Tabia nchi unaendela mjini Bonn.Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mazingira Zanzibar,Bw. Sheha Mjaja Juma.
Afisa Misitu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini,Bw. Theodore Silinge (kulia) na Afisa Habari,Ofisi ya Makamu wa Rais,Evelyn Mkokoi wakifuatilia majadiliano ya mjadala wa mabadiliko ya Tabaia nchi katika kundi la nchi za Afrika kwenye mkutano wa mabadiliko ya Tabia nchi unaoendelea mjini Bonn nchini Ujerumani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...