Alhajj Maalim Hassan Sheikh Yahya Hussein,anayo furaha kubwa kuwaalika nyote Katika Dua ya kumrehemu Sheikh Wetu Sheikh Yahya Hussein Itakayosomwa siku ya Jumapili 20/05/2012 (kesho) ikiwa ni Mwaka mmoja toka kufariki kwake.
Shughuli hiyo itafanyika kwenye Msikiti wa Manyema uliopo Mtaa wa Mafia na Lumumba jijini Dar es Salaam,kuanzia Saa Saba mchana baada ya Swala ya Adhuhuri.
Kufika kwako ndio ukamilifu wa Shughuli hiyo.
Tunatanguliza Shukurani zetu za dhati kwa kufika mapema.
Maalim Hassan Yahya Hussein
Huyu baba aliwahi kuniambia kitu na kikanitokea.Sijui kama alikuwa amenipa moyo tu au alijua kweli sijui.
ReplyDeleteMOLA AMWEKE MAHALA PEMA PEPONI
MALISA K.J (BG)
Mwenyeez Mungu amrahamu, amghufirie kwa yote na amuondolee adhabu za qabri, amlaze pema peponi - AMEEN.
ReplyDelete