
maarufu kwa jina la Ebenezer Hair Food. Yametengenezwa natural tupu
maalum kwa nywele za mwafrika mwanamme na mwanamke. Ni kwa ajili ya
- Nywele zinazokatikakatika na zisizokua
- Nywele ngumu sana kuchana
- Nywele Zinabadilika rangi kwa jua au mazingira kwa ujumla
- Nywele ambazo ni natural
- Nywele zenye dawa (relaxer etc)
- Nywele zilizosukwa (extensions, rasta, bila rasta etc)
- Dreadlocks
Ebenezer Hair Food inafaa kwa aina zote za nywele. Ni lishe natural ya
nywele. Tembelea ARISE Beauty Supply Mikocheni kwa Mwalimu barabara ya Rose Garden na pia Sinza Mapambano karibu na Lily’s Bar. Wasiliana nao 0784521171 au 0714311283. - www.ebenezer-arisebeauty.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...