Home
Unlabelled
SIMBA YATOLEWA MASHINDANONI NA AL AHLY SHANDY KWA MATUTA SUDAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shandy walikosa penalty moja na simba wakakosa mbili kupitia kwa Mafisango na Kaseja. Wachezaji wote walipiga akabakia Kaseja ambaye alikosa ya mwisho.
ReplyDeleteAL AHLY SHANDY:
ReplyDeleteMwarabu kwa fitina na mipango si mchezo!
Angelieni sisi tumewakaribisha Waarabu kwa ukarimu na huduma kede kede, lakini sisi tunafika kwao wanatuhenyesha, Hoteli nje ya mji, wanatulisha Biriani ya nyama ya ngamia iliyopikwa na mafuta kibao, matokeo yake Mhe. Mbunge ambaye ndio Mwenyekiti na Raisi wa Timu ya Msimbazi anaharisha kupita kiasi hadi anashindwa kufanya 'mipango yake' inayojulikana ili kuiokoa timu!
Mwarabu kwa fitina na mipango mchezo?
Mimi ni Liverpool na Yanga, jana usingizi mnono kabisa....
ReplyDeleteAfadhali looooooo! Tutapumua mjini hapa
ReplyDeleteJee waarabu walibebwa na refa?
ReplyDeleteHAHAHAHAH........NDIO MATATIZO YA KUTANGULIA NA BAISKELI YA MITI....HOME CAMING....KELELE NYINGIII MPAKA BUNGENI NA NINI....KWISHNEEEEE
ReplyDeleteHujuma za waarabu wa Sudan zisinyamaziwe.
ReplyDeleteHivi kwa nini tusigomee kucheza na waarabu mpaka michezo ichezwe kwenye neutral ground?
Toka Simba wamefika sudan ni hujuma mtindo mmoja!
Ankal
ReplyDeleteHiyo ni bahati mbaya juhudi zilionekana isipokuwa makosa madogo yameigharimu timu. Tujifunze kwa yote tuliyoyapitia ili mwakani tusiishie hatua hii. Hongereni msikate tamaa.
Big up SSC.
hii ni kweli???
ReplyDeleteSimba damu Ottawa
Haya, karibuni nyumbani watani tuendeleze tunayoyaweza...hayo mengine tuwaachie wenyewe maana tumeshawasindikiza vya kutosha.
ReplyDeleteWachezaji wamechoka. Halafu mtapelekaje timu Sudan kabla ya kutanguliza mtu wa kutayarisha makazi na usafiri wa kutoa airport had hotelini hadi huko shendy? Kipa wa Ferrovierio ya Maputo aliwatahadharisha, mkamwona yeye ni wa kuja leo karudi kesho!
ReplyDeleteBora wametolewa sasa tunalala tumetukanwa sana wiki hizi mbili mpaka tukawa tunashindwa hata kutembea, lakini sasa hivi afadhali na jana tumepata usingizi japo kidogo, kelele zimepungua. Simba oyeeeeeee!
ReplyDeleteSAFI SANA KELELE ZILIKUWA NI NYINGI SANA KARIBUNI NYUMBANI MSIMBAZI TUENDELEZE UCHAWI WETU WA KULOGANA KWENYE SOKA NIMEPOKEA HII TAARIFA KWA FURAHA KUBWA SANA.
ReplyDeleteTatizo hapa ni mechi ya yanga. Yanga waliwaachia na wao wakaona wanajua mpira kuliko yanga. Thubutu. Wakasema kwa kuwa tumemfunga yanga basi timu yoyote Africa tutaifunga.
ReplyDeletesimba luala
ReplyDeleteAhhh Mwarabu ndio unawaweka Wachezaji wetu chumba cha makabati wazi Hotelini au Uwanja wa Ndege?
ReplyDeleteJamani Waarabu wakija safari nyingine na sisi tuwaweke hukooo kando ya mji na tuwalishe 'dona' na 'dagaa' wachungu!
Simba amefyata mkia,,,umezama hadi uvunguni mwa tumbo lake!
ReplyDelete