Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimsindikiza Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne makinda kwenda kuweka Shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agosti, 1945.
Home
Unlabelled
SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU LA BOMU LA ATOMIKI LA HIROSHIMA NCHINI JAPAN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...