Home
Unlabelled
SUMA LEE ALONGA NA VIJIMAMBO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kuna baadhi ya wanamuziki wetu hawajui kabisa jinsi ya kujibu maswali,jaribuni kutulia mnapokuwa kwenye mahojiano,sikiliza umeulizwa nini fikiri jibu swali vizuri.
ReplyDeleteSuma Lee!!! Ismael Sadiq... Safi Kaka... We Mkaliiiii....Ndani Ya Ma Time Square...NYC Babyyyyyy!!!!!
ReplyDelete"INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN" Mwenyeez Mungu amraham marehem MAMA yako na ailaze pema peponi roho yakr - AMIN. Pia hongera sana kwa mafanikio yako mpaka hapo ulipofikia na Mwenyeez Mungu akuongoze salama huko usoni wendako.
ReplyDeleteAnon. wa mwanzo kabisa hapo juu, nakubaliana na wewe, mana unakuta hata huyo muulizaji suali hajalimalizia kuliuliza, basi muulizwa zamani gani keshadakia kujibu, anakuwa kama ana kiherehere fulani hivi cha kutaka kuongea kabla ya muulizaji hajamalizia suali lake. Stahamili, sikiliza suali unaloulizwa na ujibu 'accordingly' kufyatuka tu kama moyo wa jipu. Namna hiyo inashusha hadhi ya mahojiano na tamu ya kuyasikiliza/kuyatizama.
ReplyDeleteHuyu mtu kama anajaziba flani hivi,,wala haongei kistaarabu..Tena hiyo ndo hulka yake,,huwa na kama na kisirani flani,,,
ReplyDeleteMajigambo mengi mno,,unakuwa kama una usongo!!!huna utaratibu wa kuongea,kujuwa kuwa hapa watu wanata kusikiliza majibu kwa maswali ninayoulizwa,,unakuwa kama ndo unafanya promo katika radio au tv,,,
haifurahishi kusikiliza au kuangalia
Jaribu kukua kidogo Ba Zam Zam!
Mwenyezi Mungu Amrehem marehemu mama yako na wote waliotangulia
Umenifurahisha kumpenda wife wako namna hiyo
Nakutakia kila la Kheri
Mdau UK