Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2012

    kuna baadhi ya wanamuziki wetu hawajui kabisa jinsi ya kujibu maswali,jaribuni kutulia mnapokuwa kwenye mahojiano,sikiliza umeulizwa nini fikiri jibu swali vizuri.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2012

    Suma Lee!!! Ismael Sadiq... Safi Kaka... We Mkaliiiii....Ndani Ya Ma Time Square...NYC Babyyyyyy!!!!!

    ReplyDelete
  3. "INNA LILLAHI WAINNA ILAYHI RAJIUN" Mwenyeez Mungu amraham marehem MAMA yako na ailaze pema peponi roho yakr - AMIN. Pia hongera sana kwa mafanikio yako mpaka hapo ulipofikia na Mwenyeez Mungu akuongoze salama huko usoni wendako.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2012

    Anon. wa mwanzo kabisa hapo juu, nakubaliana na wewe, mana unakuta hata huyo muulizaji suali hajalimalizia kuliuliza, basi muulizwa zamani gani keshadakia kujibu, anakuwa kama ana kiherehere fulani hivi cha kutaka kuongea kabla ya muulizaji hajamalizia suali lake. Stahamili, sikiliza suali unaloulizwa na ujibu 'accordingly' kufyatuka tu kama moyo wa jipu. Namna hiyo inashusha hadhi ya mahojiano na tamu ya kuyasikiliza/kuyatizama.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2012

    Huyu mtu kama anajaziba flani hivi,,wala haongei kistaarabu..Tena hiyo ndo hulka yake,,huwa na kama na kisirani flani,,,
    Majigambo mengi mno,,unakuwa kama una usongo!!!huna utaratibu wa kuongea,kujuwa kuwa hapa watu wanata kusikiliza majibu kwa maswali ninayoulizwa,,unakuwa kama ndo unafanya promo katika radio au tv,,,
    haifurahishi kusikiliza au kuangalia
    Jaribu kukua kidogo Ba Zam Zam!
    Mwenyezi Mungu Amrehem marehemu mama yako na wote waliotangulia
    Umenifurahisha kumpenda wife wako namna hiyo
    Nakutakia kila la Kheri

    Mdau UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...