Mbunge wa jimbo la Peramiho Mkoani Ruvuma,Mh. Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari na wadau mbalimbali wakati wa chakula cha jioni katika ukumbi wa songea club , ikiwa ni moja ya maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani iliyoadhimishwa jana.kulia ni mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Ruvuma Andrew Kuchonjoma na kushoto katibu wa chama hicho Andrew Chatwanga.
Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Ruvuma,Andrew Kuchonjoma akitoa salamu za chama hicho wakati wa chakula cha jioni katika kusherehekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani jana.katikati mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama na kushoto ni katibu wa chama hicho Andrew Chatwanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...