Rais wa IBF Afrika Onesmo Ngowi akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchango wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Rais wa TPBO Yasini Abdalaah akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchango wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Mwandishi wa Habari wa Mlimani TV Fadhili Swala akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchango wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Mhariri wa Gazeti la Jambo Leo, Julius Kihampa akipokea cheti kutoka kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, David Misime cha kutambua mchango wake wakati wa Mpambano wa Francis Cheka na Mada Maugo
Ni mchango gani huo wa masumbwi ambavyo wanatunukiwa vyeti na polisi?
ReplyDelete