Mama Salma Kikwete akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa madakatari wa Children's Hospital Global Affairs iliyopo Washington, DC siku alipofanya ziara Hospitali hiyo kulia ni Afisa Ubalozi wa Tanzania  Nchini Marekani, Suleiman Saleh.
Picha Juu na chini ni Profesa Jerome Paulsen, Daktari naMkurugenzi wa Children's Hospital Global Affairs akizungumza na ujumbe wa
Mama Salma Kikwete kuhusu mpango wa Hospitali hiyo ya kuwafundisha
madaktari kuhusu magonjwa ya watoto yatokanayo na uchafuzi wa mazingira.  kushoto picha ya chini ni Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Suleiman Saleh.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2012

    hii ilikuwa lini? mbona huyo suleiman saleh sasahivi ni balozi wa tanzania nchini oman.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2012

    Mama ana mkalimani ama analazimika kusmile tu teh teh make najua slang za huko atakuwa hapati kitu inabidi acheke tu kuonyesha anapata pata haa haa kaaaaaazi kweli kweli hongera lakini umetembeapo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2012

    Safi sana MAMA SALMA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...