Meneja Huduma wa Airtel, Hilda Nakajumo akitoa maelezo kwa  Mkuu wa Biashara wa Benki ya Africa, Wasia Mushi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Airtel  katika onyesho kikundi cha Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
Baadhi ya waimbaji wa kikundi cha Dar Choral Society wakiimba katika onyesho la lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
Kikundi cha muziki wa taratibu (classic) cha Dar Choral Society kikitoa burudani katika onyesho la muziki huo lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam
 Baadhi ya wanamuziki wa Dar Choral Society wakiwa kazini katika onyesho lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Mtaa wa Shaaban Robert, Dar es Salaam
 Waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha Dar Choral Society wakishangilia katika onyesho hilo lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel Tanzania, Irene Madeje Mlola (kushoto) akizungumza na baadhi ya watu  waliohudhuria onyesho la kikundi cha muziki cha  Dar Choral Society lililodhaminiwa na Airtel katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 02, 2012

    HONGERA MDAU KWA KUTUSHIRIKISHA HABARI HIZI MUHIMU, KWAKWELI SASA TANZANIA TUNA UKUMBI MZURI SANA WENYE VIWANGO VYA KIMATAIFA NA NDIO WAKWANZA TANZANIA. MDAU UKUMBI HUU NI WA MAKUMBUSHO NA NYUMBA YA UTAMADUNI (The Museum and House of Culture Dar NA SI MAKUMBUSHO YA TAIFA. NATUMAINI WALE WENYE NIA YAKWELI YAKWENDA KUPANDA MAJUKWAA YA WENZETU MAJUU SASA WANAPAKUANZIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...