Karibuni wadau wote katika Magazine mpya ambayo inapatikana katika mtandao pekee. Lengo kubwa la Magazine hii ni kuwapasha, si Habari peke yake , lakini pia pamoja na mambo mengine mengi ambayo ukifungua mtandao utayaona. kama ungependa kutuma habari kulingana na Categories utakazoziona. Tunawakaribisha sana.
Pia wataarifu ndugu,jamaa na marafiki.
Tunatanguliza Shukurani.
Kwa mawasiliano: thisdaymagazine@ live.com


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...