Kaka michuzi hivi ndivyo usafiri wa raha bila karaha ulivyo ndani ya basi la MOMBASA RAHA EXECUTIVE!
Hapa tupo katikati ya geita na bukoba full pori la kutisha, tunaomba msaada wako kuwasiliana na wahusika waangalie namna ya kuboresha huduma zao, mapicha mengine baadae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 01, 2012

    Mbona hujaeleweka? msaada wa nini? gari bovu? barabara mbovu? au pori linatisha sana? nadhani ulimaanisha gari iliharibika kutokana na picha inavyoonekana lakini next time jaribu kujieleza vizuri. nadhani hata uchovu umechangia...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2012

    Full pori lipo wapi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2012

    Ukisikia 'Utalii wa ndani' ndio huo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2012

    Du naona mabox yalojaa senene wanaoletwa Dar. Mkikosa chakula wageukieni senene hao

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 01, 2012

    gari kuharibika ni jambo la kawaida,unaposema full pori namimi naona mashamba ya mahindi na watu wanatembea mbona sikuelewi,next tyme chukua Air Tanzania

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 01, 2012

    SIjaona pori lolote hapo zaidi ya huo uwanda (plain)

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 01, 2012

    Gari kuharikiba safarini ni kitu cha kawaida. Sidhani kama ni kitu cha kulalamikia kwenye mablog. Kama ungetuambia mmelala hapo siku mbili ningekuelewa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 01, 2012

    nami naungana na mdau aliesema kero ya basi la mombasa raha.hawa watu wanamatatizo sana hasa pale mwanza,jamani wahusika wakuu wa mombasa raha,mtakosa wateja sababu ya wafanyakazi wenu wa pale stendi,wenyewe kama basi ni bovu na limefika,kwanza wanakukatia tiketi fafa,then linalokuja lingine toka mkoa mwingine wanachofanya kama mshaingia ndani ya basi wanawafaulisha,mnapanga foleni tena nje wawape ticket original na siti namba,kiukweli shauri ya ubovu wa mabasi yao,kumekuwa na kero sana huku mwanza,na wanakauli mbovu sana,hapo utakuta walikosa basi zima la kufaulisha abiria kama mizigo,then wakaona watumie hilo hilo,mabasi wanayomengi kanda ya ziwa ila mabovu sana
    poleni abiria,ndio mombasa raha hiyo
    MUHUSIKA WA MABASI YA MOMBASA RAHA,KAMULIKE WATENDAJI WAKO NA PIA REKEBISHA MABASI YAKO

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 01, 2012

    Kwanini upate shida si ungepanda ndege tu? afterall pori unalosema liko wapi? inaonekana wewe mtoto wa mayai sana, so ukiona gari limesimama pasipo watu basi hilo pori, hayo mambo ya kawaida na ndo ndo maana wanasema MSAFIRI KAKIRI/KAFIRI....ACHA KUDEKA WEWE

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 01, 2012

    jamaa kachanganyikiwa tu, hapo alikumbuka magari yanavyotekwa upande huu wa tanzania akaona aombe msaada kabla majambazi hayajatokea.. tulia, huo ndio usafiri wa bara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...