Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2012

    Hivi London to Sydney ni mbali kuliko Dar to London, maana kwa Emirates hayafiki hata masaa 20 yaliyotajwa!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2012

    wenzenu wako mbaaaali. Manyani tumeshindwa hata kuunda baiskeli ya aina yetu.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 25, 2012

    masaa 4 ??? !!!!! Michu, yaani unafika safari yako sawa ,lakini masikio yote yatakuwa yameziba, hawa wazungu tatizo lao hawatosheki na maendeleo. Zebedayo msema ukweli.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2012

    Hivi ungo unaweza kutumia muda gani? We need to be scientific! otherwise Africa will remain as spectators in the fast pace world!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 25, 2012

    Enheee

    Madege haya na sisi tujitahidi tuyapate ingawa kwa sasa tupo ktk mwendpo wa Kobe wa Videge vya kukodi!.

    Kwa nini isiwe?

    Wakati mtaji tunao gas na mafuta ndio hivyooo kibindoni!

    Kilichobaki ni kuweka Sera ya maana kwa Rasilimali zetu na kuwadhibiti Mafisadi tu!

    Narudia tena kwa nini isiwe???

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2012

    Anonymous wa mwanzo .... swali lako, are you really serious? If you are basi hii elimu ya UPE na waalimu wa UPE matokeo yake ni kiumbe kama wewe!!!!
    Somo la jiografia ulikuwa unaingia darasani kweli?
    Au mwalimu wako wa UPE alichanganyikiwa pia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...