Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2012

    mji mzuri kiasi japokuwa haujapangiliwa vizuri. Niliwahi kuongea na mzungu mmoja wa scotland akaniambia miji iliyojengwa na wajerumani kamwe haikupangiliwa vizuri ukilinganisha na iliyojengwa na waingereza.

    Japo mwingereza alitutawala lakini hakujenga mji badala yake aliendeleza aloukuta.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2012

    Sawa basi hata kama ilipangwa na wajerumani, mbona kuna watanzania waliosomea huu upangaji miji. Wanabaki kubomoa nyumba ambazo ni historia nzuri kwa watoto wetu. Hebu tazama miti ilivyoshagalabagala, wangeikata vizuri ikapendeza. Sasa inakuwa kama kichaka, hovyo tu. Na hiyo garden hapo kwa askari, miaka nenda miaka rudi, maua yake hayapendezagi hata siku moja, utafikiri palitupwa bomu la atomiki. kwani hata ukiweka mbolea, maua hayapendezi. Naomba wapangaji miji watende kazi zao walizosomea, sio kukaa na vyeti tu kwenye mafaili yao na picha walizovaa majoho.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2012

    huyo mtu wa scotland amekudanganya basi. waingereza kamwe hawajawahi kupangilia mji wowote walio ukoloni.

    Hao wajerumani mbona wamejenga namibia vizuri sana. Wewe niambie mji gani waingereza wameujenga..india? pakistan? bangladeshi? barma? kenya? uganda? hamna kitu wasijisifu hao hawajajenga chochote.













    h

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2012

    Huyo M-scotish ana akili kweli tembelea miji ya Ujerumani na Scotland/Uingereza kuhakiki hilo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2012

    wapi hapo wadau tafadhalini nijulisheni..namaanisha dar sehemu gani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...