Home
Unlabelled
dar kwa jicho la ndege
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mji mzuri kiasi japokuwa haujapangiliwa vizuri. Niliwahi kuongea na mzungu mmoja wa scotland akaniambia miji iliyojengwa na wajerumani kamwe haikupangiliwa vizuri ukilinganisha na iliyojengwa na waingereza.
ReplyDeleteJapo mwingereza alitutawala lakini hakujenga mji badala yake aliendeleza aloukuta.
Sawa basi hata kama ilipangwa na wajerumani, mbona kuna watanzania waliosomea huu upangaji miji. Wanabaki kubomoa nyumba ambazo ni historia nzuri kwa watoto wetu. Hebu tazama miti ilivyoshagalabagala, wangeikata vizuri ikapendeza. Sasa inakuwa kama kichaka, hovyo tu. Na hiyo garden hapo kwa askari, miaka nenda miaka rudi, maua yake hayapendezagi hata siku moja, utafikiri palitupwa bomu la atomiki. kwani hata ukiweka mbolea, maua hayapendezi. Naomba wapangaji miji watende kazi zao walizosomea, sio kukaa na vyeti tu kwenye mafaili yao na picha walizovaa majoho.
ReplyDeletehuyo mtu wa scotland amekudanganya basi. waingereza kamwe hawajawahi kupangilia mji wowote walio ukoloni.
ReplyDeleteHao wajerumani mbona wamejenga namibia vizuri sana. Wewe niambie mji gani waingereza wameujenga..india? pakistan? bangladeshi? barma? kenya? uganda? hamna kitu wasijisifu hao hawajajenga chochote.
h
Huyo M-scotish ana akili kweli tembelea miji ya Ujerumani na Scotland/Uingereza kuhakiki hilo
ReplyDeletewapi hapo wadau tafadhalini nijulisheni..namaanisha dar sehemu gani
ReplyDelete