Mdau Othman Mapara katika matembezi yake ya hapa na pale mitaani Zenji ili kutafuta matukio kwa ajili ya jamii sehemu za mitaa ya uswahili, alikutana na kijana huyu akiwa katika mchezo na kuku wake aina ya jongoo likiwa na afya njema mashalau...
Ilibidi asimame na kujuwa kulikoni mambo haya ya Mtu kucheza na kuku... na kuku huyu kufuata amri ya mfugaji wake kijana Khalid Abdalla... na kufahamishwa kuwa kila jogoo huyu anapoitwa Chicken huja mbio na kucheza nae. Iibidi Mapara kumuuliza Khalid kulikoni mambo haya tena?
"Haya mafunzo nimemfunza sasa karibu miaka miwili sasa. Wanyama hufanya vile mtu anavyomfunza kuazia mdogo mpaka kukuwa kwake..." alisema Khalid huku akiendelea kucheza na jogoo lake.


huyu ni kijana ???? kweli zanzibar kuna mambo na huo mchezo wa kuku unaitwaje ?? jibu ,muungano udumu. Zebedayo
ReplyDeleteKWELI ZANZIBAR AMANI IPO MPAKA JOGOO ANACHEZA NA MTU,AAAAAAAAAH KWELI ZANZIBAR MZURI NI HUU MUUNGANO TU NDIO UNAOTUSUMBUWA SISI WAZANZIBAR
ReplyDeleteILA NAO UMEFIKA MWISHO MARA HII LAZIMA WAJE NA VISA
jamani kiswahili tumekisahau siku hizi au?
ReplyDeleteKijana wakati huyu ni jamaa anacheza na jogoo.
ukisema kijana mimi nadhani yule ambaye si zaidi ya miaka 25-30.
Ila picha imenichekesha sana. Asante kwa yule aliyetuletea picha
ni hayo tu.
Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni
Huyu Jongoo amenona kwa ajili ya MUUNGANO. Mleteni bara muone kama atakatisha Christmas mbili hakiwa hai.
ReplyDeletehivi huyu jogoo ikifika idd na krismasi si anajificha? manake ana akili.
ReplyDeleteHahahaha
ReplyDeleteNiacheni nichekeleeee!!!
Wazanzibar wananichekesha sana, jamaa amedai Muungano weee Zenji sasa muda wa Mapumziko ya Maandamano anautumia kwa kucheza na Jogooo!
Au ndio Kampeni zenyewe za Kudai kuvunja Muungano kuwa watu hawana kazi ni kucheza na mifugo tu?
Angalieni sasa!
ReplyDeleteWazanzibar tunakuwa hatuwaelewi madai yenu!!!
Mkisema Muungano mbaya, sasa huyu Jogoo alivyo nenepa ninyi Zenji hamlimi mahindi, inaonyesha amekula Mahindi ya Mbeya au Iringa ,si ndio neema za Muungano hizo?
Mnaona kwa macho Neena za Muungano hizo?
ReplyDeleteKunenepa kwa Jogoo huyo ndugu zetu Wazanzibar kunaashiria neema adimu za Muungano!
Mfano tuvunje Muungano puuu, tutawapa mashariti magumu ya kupitisha mchele wetu mpya wa Morogoro, Mbeya na Shinyanga kuingia kwenu Visiwani!
Je, kwa msingi huo Jogoo anaweza kunenepa kwa mchele wa Indonesia au Iran uliokaa ghalani tokea mwaka 1952?
FIKIRINI KWANZA KABLA YA KUPANDISHA JAZBA!
Du anagalieni mmeona Wazanzibari mnavyoifaidi Bara?
ReplyDeleteHadi Jogoo ananawiri kwa mchele wa kutoka Bara kiasi hicho?
Ama kweli sisi viumbe wa Mwenyezi Mungu tmepishana sana!
ReplyDeleteJogoo wa Zanzibar anacheza kwa furaha akiwa ameshiba makapi ya nyanya, vitunguu na kabechi kutoka Bara na akiuthamini Muungano ingawa hasemi, huku binaadam (wenye kujitambua) wakiwa wanaupinga Muungano!
Ugumu wa maisha upo wapi Visiwani?
ReplyDeleteAngalieni mpaka mtu unapata muda wa ziada wa kucheza na kuku, wakati huku nje Majuu tunafukuzana na muda na tunaumia kwa kubeba Ma box!!!
Binaadam wanatapa tapa kupinga Muungano Zanzibar, Jogoo anhhha anaruka ruka kwa raha zake ndio kanza anaufurahia Muungano!!!!!
ReplyDeleteYA KWELI HAYA JAMANI?
ReplyDeleteUchumi tosha kucheza na kuku,
ReplyDeletehaya Zanzibar mjitenge kutoka kwetu Bara pamoja na sekta zingine za mapato yenu ili mkuze mchezo wa kucheza na kuku kama kivutio cha Utalii !!!
Muungano wa Afrika ya Mashariki na Kenya, Uganda ,Burundi na Rwanda baadae Sudani ya Kusini vinatutosha, bora tuachane na ninyi 'domo wazi'.
Ya nini malalamiko dhidi yetu?
Uhuru wa nini mnadai kutoka kwetu Bara?
ReplyDeleteZanzibar Uhuru mnao tena wa kumwaga tu!, mpaka mnapata muda wa kuzea kuku!!!!!
Ohhh tunaonewa na sasa hatuna hadi kazi muda mwingi tunacheza na majogoo!!!
ReplyDeleteWakati huo muda anaopoteza hapo angeenda kulima angevuna mazao, angeenda kuvua samaki angepata!
Kampeni za Kisiasa mchezo?
Inawezekana Zanzibar wanatuma mapicha kama haya Omani kwa Mkoloni wao Mwarabu ili wapate ushirikiano wa kudai Muungano hauna manufaa kwao!
Hongera Bro. Ulaji huo!!
ReplyDeleteZanzibar uhuru ulishaupata tokea umpindue Mwarabu wa Omani mwaka 1964 hadi sasa unafikia kuwa huru hadi unacheza na majogoo na kuku!
ReplyDeleteSisi wa Bara hatutawali Visiwani.
Huoni wewe na mimi Bara tunashirikiana kimaisha tu?
Mzanzibari unatumia muda mwingi kucheza na kuku badala ya kufanya kazi.
ReplyDeleteBaadae unakuwa na njaa malalamiko yote unaelekeza Serikalini, kwenye Chama, Tanzania Bara na kwenye Muungano!
Hadi Majogoo yananona Zanzibar hii yote ni kwa ajili ya neema za Muungano mnao ubeza sasa ngojeni uvunjike muone njaa itakavyowapiga !
ReplyDeleteAsalaleeee,
Mnafikiri mtakuwa na majogoo yanayocheza na yaliyonenepa tena?
Hii yote ni mshikamano na sisi Bara sote tukiwa huru!
ReplyDeleteHali hii ya Uhuru huu wa kucheza na kuku mlikuwa nayo wakati mnatawaliwa na Mwarabu?
Au mnaweza kuipata kama mtaangukia tena ktk minyororo ya Utumwa na Ukoloni wa Mwarabu?
Kijana si zaidi ya miaka 25-30
ReplyDeleteInawezekana jamaa ni kijana lakini 'amezeeka' kutokana na hizo shida wanazodai kuletewa na Tanzania Bara na Muungano!
neema gani ya muungano hii ni kheri yetu na baraka zetu za nchi yetu zanzibar ndo maana kanenepa jogoo, na bora kucheza na jogoo kuliko kucheza na akili za watu kuwafanya mazuta(zumbu kuku) kwa kujificha katika kichaka cha muungano
ReplyDeletehatuutaki muungano wazanzibari tunataka amani yetu ndo maana tunacheka na jogoo hatuna shari na mtu lakini mnatuleta balaa zenu hatuzitaki
nendi mkaungani na kongo, uganda,malawai etc not us any more
Mdau wa 23 hapo juu Anony Mon Jun 04, 01:51:00 PM 2012
ReplyDeleteMUUNGANO HAUVUNJIKI WALA HAUFI...UTAKUFA WEWE NA NJAA ZAKO!
FANYA MPANGO UOMBE PASIPOTI YA OMANI MAPEMA KWA KUWA MATARAJIO YAKO KAMWE HAYATOTIMIA!!!
ZANZIBAR IKIFANIKIWA KUJITENGA ''NITAKUNYA'' SAA 7 MCHANA MJINI POSTA BARABARANI, KITUO CHA BASI AU KWENYE STENDI YENU YA MABOTI YA ZANZIBAR HUKU DAR PALE POSTA BAHARINI !!!!
MAJOGOO YENU YANASHIBA KWA NEEMA ZA BARA ZA MUUNGANO NINYI MNA NJAA KALI SANA , TENA HAMLIMI WACHA MAHINDI NA VYAKULA ,MNA NJAA HATA ZA MBOGA MBOGA VITUNGUU ,NYANYA, HADI KABECHI NA PILI PILI MNAAGIZA BARA!
THUBUTU!!!
KUJITEGEMEA MTAWEZA NINYI?