Kwa niaba ya kikosi kazi kizima cha Globu ya Jamii duniani kote, namtakia Hepi Besdei njema Mwamvita na kumuombea kwa Maanani aishi kupuliza mishumaa 200 akiwa kama alivyo pichani.
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni jamani... Mashaallah, Mwamvita umejaaliwa kila kitu ambacho wachache wa umri na jinsia yako wanavyo.
Kubwa ya yote ni kupenda watu na kusaidia kila panapobidi. Husiti kujishusha na kuwa kimo cha mtu aliye ngazi za chini mbele yako. Kungekuwa na Mwamvita 10 tu, mambo mengi yangesuuzika.
Kubwa ya yote ni kupenda watu na kusaidia kila panapobidi. Husiti kujishusha na kuwa kimo cha mtu aliye ngazi za chini mbele yako. Kungekuwa na Mwamvita 10 tu, mambo mengi yangesuuzika.
Nachelea kusema mengi nisije nikaonekana afriti. Lakini timu nzima ya Globu ya Jamii inakupenda, inakuthamini, inakujali na juu ya yote haili, hainywi wala usingizi haipati kwa ajili yako Mwamvita!
Hepi Besdei tu yuuuuuuuuuuu X5
Hepi Besdei tu yuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu X1
Kata keki tuuuleeeeeeeeeeeeeee X5
Kata keki tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeX1
Hepi Besdei tu yu dia Mwamvitaaaaaaaaaaaaaaaaa X1
HEPI BESDEI TU YUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU…
From Michuzi
With lots of hugs and kisses


Samahani, na kama Mwamvita hautajali, ni bethidei ya miaka mingapi na je umeolewa???
ReplyDeleteTuache utani ankal, YOU HAVE OVERDONE THE PRAISES! Bosi wa VODACOM? Sasa hiyo nayo ni issueee? Ankal bana, sasa angekuwa bosi IMF au World Bank si ungemtungia na mapambio kabisa? Yes, Mwamvita aweza kuwa mtu mwema kwa watu especially you, but try to play it low next time. Hii globu ya jamii kama unavyoitambulisha, hupaswi kuonyesha waziwazi wapi royalty yako imeegemea bana
ReplyDeleteWow Happy Birthday to you, God bless you abundantly.
ReplyDeletehongera mwaya, mungu akujaalie uishi maisha marefu na mafanikio tele.
ReplyDeleteMdau wa kwanza Anonymous wa Mon Jun 04, 08:56:00 AM 2012
ReplyDelete...je umeolewa???
Usinitake ubaya tafadhali Mdau mwenzangu humu Jamvini, sasa kwa taarifa yako mimi natokea Tanga ni Mgosi wa Kaya mwenzao akina Makamba!, Kampeni zangu naanzia kwa Mhe.Januari Makamba halafu namfikia Sheikh Yusuf Makamba nachukua kitu!
Je kwa mtaji huo utaniweza?