
Rais mstaafu wa Marekani, George Bush, akila tizi enzi zake

Rais Barak Obama wa Marekani akipiga jaramba kuelekea garini baada ya kutua na dege lake la Air Force One

Rais Barak Obama wa Marekani akitrot kuingia uwanjani huku kala suti. Hapa hamna noma wala nini na jamaa yuko fiti kama JK vile

Rais Barak Obama wa Marekani akila tizi mitaa ya Washington DC

Rais aliyepita wa Ufaransa , Nicolas Sarkozy, akijifua huku bonge la mvua likinyesha. Rais kuwa fiti ni bonge la dili ati....

Rais mstaafu wa Marekani Bill Clinton akila tizi


safi sana tuna taka awe hivi kivi kikwete anakula mazoezi sio leo hii kuvimba kitambi na kuwa nene nene hatak kukimbia ashindwe, marais walio wanene wa africa ni funzo kwenu mjifunze kwa kikwete na wenginewe wanao thamin na kujua nini umuhimu wa afya zao.
ReplyDeletebrazo issa muhidin kwa kitu kitu
Mazoezi Afya
ReplyDeleteObama hana kitambi JK anacho anahitaji situp nyingi kukata kitambi.So far anajitahidi,mfano mzuri toka Mzee Mwinyi na Nyerere ambao waliweka historia za kutembea mara kwa mara.
ReplyDeleteBushi kwa kujipendelea ,eti kaweka namba moja kwenye jezi yake akidhini Raisi lazma awe wa kwanza kwa kila kitu.Aombe mechi na Raisi Kikwete aone wa bongo tunavyochanja mbuga.
ReplyDelete