Habari za kazi waungwana, poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa.
Napenda kuwatangazia kuwa kuanzia sasa blogu ya mamapipiro kuanzia sasa itajulikana kama:
https://dinaismail. blogspot.com
Ni yangu matumaini mtaendelea kuwa nami katika gurudumu hili la libeneke.
Nawatakia kazi njema.
Dina Ismail



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...