Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na watoto Ummy Alli Mwalimu (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Suleiman Rashid(kushoto) wakizungumza na waandishi wa habari jana mjini Dodoma juu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika ambayo yatafanyika tarehe 16.06.2012. Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni haki za watoto wenye ulemavu : Ni wajibu wetu kuzilinda , kuziheshimu ,kuziendeleza na kuzitimiza. Picha na Tiganya Vincent_ MAELEZO- Dodoma.
Home
Unlabelled
maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...