Kiungo chipukizi wa Simba SC na Timu ya Taifa (Taifa Stars), Shomary Kapombe (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Sh Milioni 12, kutoka kwa mgeni rasmi katika sherehe za utoaji wa tuzo za Wanamichezo Bora Tanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,Alhaj Ally Hassan Mwinyi (kulia) kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam usiku huu. Kapombe pia alishinda tuzo ya Mwanamichezo Bora chipukizi.Picha na Bin Zubeir Blog
Home
Unlabelled
Shomari Kapombe ndie mchezaji Bora wa Mwaka 2011
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Hongera sana. Ila inasikitisha sana unaposhindwa kutofautisha mavazi na hafla. Hata mwanangu japo ni mdogo anajua wapi avae suti, wapi avae kaptura na wapi avae track suit bila ya mimi kumshauri. Hivi ulijisikiaje hapo, tena ukiwa na Rais pembeni ambaye amechukulia jambo hili kwa heshima sana?
ReplyDeleteONGERA SANA KIJANA. ILA TUNAOMBA HAWA VIJANA WAWE NA SOMO LA MAFUNDISHO LA UVAAJI NGUO UNAANGALIA UNAKWENDA KUKUTANA NA NANI UVAA NINI, MBONA WAMEKUWA AWAEREWEKI HIYO NGUO ALIYOVAA UTAFIKIRI ANAKWENDA CLUB WABADILIKE KIMAVAZI. WAFUATE MIFANO YA WENZAO SIJAWAI KUONA MCHEZAJI MKUBWA ANAITWA KAMA HIVYO ANAVAA KIJANA WETU HAPO.
ReplyDeleteKapombe, you should have dressed up for the occasion!
ReplyDeleteDr Gangwe Bitozi.