Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal, this one has made my day:-)
ReplyDeleteThe European Union didn't want to learn a lesson from the Soviet Union rouble. They thought rouble failed due to socialist ideology. but in actual fact, rouble was in a better position to succeed than Euro, at least rouble had a central bank to decide on fiscal and monetary policies and interest rates, this which lack in the Eurozone.
ReplyDeleteEuro fails because the European Union doesnt have a unified monetary and fiscal policies ontop, Europe have more than 25 different National Parliaments to drive economic policies it was dead on arrival.
Good luck Eurozone, at least you tried:-)
This is hilarious.It looks like a hectic roadside resuscitation effort, or more like a resurrection effort..I like the steam irons going to be used for defibrillation? Seriously, the Euro is tottering on the brink of collapse,its symptomatic of capitalism dying.There is for one thing, unsustainable and unrealistic distribution of wealth.
ReplyDeleteMawazo ya Gado au ya Eurocentricity?
ReplyDeleteWajaribu kumkabidhi huyo mgonjwa kwa huyo abra kadabra hapo pembeni waone kama hata anza kumsearch huyo mgonjwa mfukoni kwanza.
ReplyDeleteBecause African you are a Magician and a good Witch Doctor,,,may be you can try your chance to help us through your 'INVISIBLE' ways in case we fail in our 'VISIBLE' methods !
ReplyDeleteHahaha,
ReplyDeleteEwe Mwafrika Mkonongo Mipango ya fedha huiwezi, baki na mipango yako ya Misukule na Ramli za majivi kuchora chini kwa vidole na kwa kurusha juu maharage matatu makavu!
Washua Wazungu Wwana tapa tapa na hakieleweki sasa wewe kwa Mahepe na Manyau nyau yako utaweza?
Achilia Mwafrika huyo hapo!
ReplyDeleteHao hao miongoni mwao Waulaya wazungu wametofautiana sana, Mjerumani, Mfaransa na Mholanzi wanafuta jasho za vipara kutafuta suluhisho la fedha na uchumi wakati mwenzao Mwingereza mawazo yake yapo kwenye zipu ya suruali yake!
Kama mnavyoona sera za Mwingereza katika Diplomasia yake na mashariti ya Misaada!
Ha ha ha , this is fact and hilarious ....
ReplyDeleteWewe uanyetaka kutoa msaada na hirizi zako mabegani utaweza kweli hapo?
ReplyDeleteDuniani kila mmoja na majaliwa yake,
ReplyDeleteFedha na Uchumi wa kawaida sio eneo letu, sisi ni mafundi katika sekta zifuatazo:
1.Kuongeza Bahati,
2.Nguvu za Kiume,
3.Nyota za Biashara,,,bila ushindani wala mbinu za Ujasiriamali.
4.Kumvuta mpenzi 'ndele'
5.Kupanda cheo,,,bila masomo
6.Kumfunga mtu asing'are
7.Kumweka mtu msukule
8.Kufuga majini na mazindiko
9.Kusafiri na ungo
10.Chuma ulete,,,ndio Uchumi na mpango wa ki-fedha tunaoutegemea pekee!
......!!!
We anany wa juu hapa,kumsechi mifuko ni muhimu ili kuondoa vitu ambavyo vinaweza kumfanya kuwa uncomfortable kama vile simu,pochi nakadhalika
ReplyDeleteWewe ulieshika kiuno unaeuliza mwenye mkia wa ng'ombe mkononi na kapu la tunguri begani sasa utafanya nini hapo?
ReplyDeleteFrom Mnyamwezi
ReplyDeleteNi kweli, wameparaganyika hata katika hatua hii wanapokabiri mauti. Kama sala hazitasaidia, basi hakika watajaribu hata juju. Unajua falsafa ya kikaragosi hiki ni kubwa sana. Inaonekana watu wa Ulaya wame-panic na wana nia ya dhati ya kurejesha uhai wa EURO. Naona Angela Merkel kashika moyo kabisa:-(.
Lakini 'AFRICA' na MZUNGU aliyeshika pasi, wote ni wageni kutoka nje ya EURO zone. AFRICA yuko confident kweli kwamba watashindwa, anawasubiri wamwombe. Inaonekana kama Merkel anataka kuomba msaada AFRICA. Merkel over looked yule MZUNGU mwenye pasi, nadhani anahofu kwamba ana nia ya kummaliza EURO. Mwenye pasi siyo kwamba anamshangaa AFRICA kuwa anaweza, bali anaogopa 'AFRICA' asimu wahi kummaliza EURO:-).
Kipanya? HONGERA, FALSAFA KUBWA.