Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamau wa Rais,Mh. Charles Kitwanga akipata maelezo toka kwa Bi Arafa Maggid mhandisi mazingira Bonde la pangangi kuhusu vifaa vya kupimia ubora wa maji,alipotembelea banda la hilo katika maonyesho ya wiki ya mazingira mkoani kilimanjaro.
Naibu katibu Mkuu Ofisi ya makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava akiangalia ndege katika banda la Chuo cha Uhifadhi na Usimamizi Wanyama Pori Mwika alipotembelea banda hilo,wakati wa maonyesho ya wiki ya mazingira mkoani Kililimanajaro.(Picha na Ali meja).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...