katika pita pita jioni ya leo Globu ya Jamii iliweza kunasa picha hii maeneo ya Upanga Jijini Dar es Salaam,hii ni njia inayotokea pale kwenye geti la Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani ambapo kuna mashimo makubwa makubwa ambayo yanaleta kero kwa watumiaji wa njia hii,hasa kikifika kipindi cha mvua.sasa sijui kuna mpango gani unaoendelea kwa wahusika juu ya kuifanyia ukarabati njia hii?
Home
Unlabelled
mashimozz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Yanasaidia kupunguza ajali
ReplyDeleteMashimozz bin mabwawazz, kiangazi yaanze kutupiwa takataka ili lifahamike moja na nyakati za masika yafugiwe samaki. alau yawe useful kuliko hivyo yanavyoonekana hapo.
ReplyDeletendugu hayo mashimo kumbukumbu zangu toka mm nipo nasoma hapo azania na kumaliza mwaka 2011 hakuna kilichofanyika cha kushangaza mtaa wa pili kutoka hapo anakaa diwani wa upanga sijui haoni au?
ReplyDeleteHapo zamani ukimuona dereva moving from one side of the road to the other and back again, wasema mlevi huyo, siku hizi ukimuona mtu aendesha straight, basi na mlevi huyo
ReplyDeleteAtafutwe yule aliyekua anaotesha migomba.
ReplyDeleteBonge wa clouds kazi kwako njoo chukua migomba upande Kama ulivyofanya mwananyamala hospitali Hawa watendaji hovyoo
ReplyDelete