Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia)  wakizungumza na Rais wa Zambia, Michael Santa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika leo Juni 1, 2012, Luanda Angola. Mheshimiwa Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano huo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Namibia, Hage Geigob wakati walipokutana  katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Luanda leo. Picha na PMO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...