ALIYWEAHI kuwa kocha mkuu wa timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' Mbrazil Marcio Maximo anatarajiwa kuwasili nchini kesho tayari kuanza kukikonoa kikosi cha Yanga wana wa Jangwani.
Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu amesema leo kwamba mara baada ya kuwasili Maximo atafanya taratibu za usajili kabla ya alhamis kuanza rasmi kukinoa kikosi cha timu hiyo kwa ajili ya michuano ya kombe la kagame itakayoanza kutimua vumbi mwishoni mwa mwezi huu jijini Dar es Salaam.
SOURCE: MAMAPIPIRO BLOG
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...