Home
Unlabelled
MDAU ATHUMAN HAMIS ALIPOONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI DAR LEO KUHUSU MUSTAKABALI WA MAISHA YAKE KWA SASA NA MATATIZO YANAYOMKABILI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MIE NASHANGAA SEREKALI YETU SANA,HUYU JAMAA ALIKUWA MPIGA PICHA WA SEREKALI,NI KWANINI SEREKALI INASHINDWA KUMSAIDIA??WANAMSAIDIA MAMA KANUMBA MILIONI 10 ZA NINI??SEREKALI INAPENDA KUSAIDIA SANA MTU AKISHA KUFA,AKIWA HAI HAWAMWONI..SEREKALI ZITUMIWE HIZI LAWAMA...
ReplyDeleteNimesikiliza Masikitiko ya kaka Autham, nimesikitika sana, sikupata nafasi ya kumjua sana, ila nilishakutana naye miaka ya nyuma.
ReplyDeleteWantanzania wenzangu tuwe na moyo wa kusaidia, kila mtu yuko na wakati Mgumu lakini tukumbuke walio na wakati Mgumu zaidi, na amini tunaweza kumsaidia.
TSN wanapaswa kuheshimu na kuthamini wafanyakazi wao wakiwa wazima na pindi wakiwa wagonjwa,hii inasikitisha sana kuona shirika linashindwa kuhudumia wafanyakazi wao wagonjwa.Serikali na shirika la nyumba yapanswa kumpatia nyumba haraka,na sisi wa kawaida tumsaidie kwa hali na mali.Inasikitisha sana
ReplyDeletePole sana Athumani. Japo sikufahamu, stori yako inasikitisha mno. Kwa kweli umetupatia somo kubwa sana kupitia maisha yako. Kwa kweli wanadamu inabidi tujue kuwa pamoja na maisha ambayo tunaweza kuwa nayo, ni wakati wowote hali inaweza kubadilika na kuwa kinyume kabisa na matarajio yetu. Athumani hakutegemea angefikia hali hii ya sasa kama anavyojieleza. Lakini pia fundisho kwetu kuwa waangalifu kuwajua marafiki feki ambao wao huwa pamoja nawe kwenye raha tu. Rafiki wa kweli huwa nawe kwenye raha na shida.
ReplyDeleteMwisho ningependa kumsihi bwana Athumani awe na subira na imani. Ajaribu pamoja na matatizo yote yanayomkabili kuwa strong na kuwa positive about his fate. Kwani akumbuke kuwa angalau aliweza ku-survive the terrible accident, na kwamba pamoja na kupooza mwili bado ana akili zake timamu. Wengine huwa hawapati bahati hiyo kwenye ajali kama hizo, na wengi huishia kupoteza maisha ama kuwa katika vegetative state akiwa hajui anayetoka ama kuingia. Yeye angalau yupo kwa ajili ya watoto wake, nao wako wanamuona,despite all other problems, he is still a father to them, nao bado wanamuhitaji. He is at least there to support them kimawazo na kiushauri. Na pia hata ndugu na marafiki wenye upendo wa kweli bila shaka wanafurahi kuwa Mungu amempa maisha na bado yupo nao.
Ushauri wangu kwa Athumani ni kuwa, unaweza kutumia fate yako kutunga kitabu cha maisha yako, kutoa mihadhara ya kuwaelimisha watu kuhusu namna ya kuishi na hali yako nk kama njia ya kuangalia namna ya kujiwezesha. Na pia endelea kumuomba Mungu, usikate tamaa wala usikubali yeyote akukatishe tamaa na inshaalah Mwenyezi Mungu atafungua milango yake zaidi!!
kaka michuzi, naomba ufikishe ujumbe huu kwa rais kikwete:
ReplyDeleteNimesikia rais kimwete ni shoga yako mzuri tu na mko karibu sana. na pia kaka Athuman unamfahamu vizuri tu. Umshauri kikwete hii ishu:
Badala ya kusaidia individuals kwenda kutibiwa nje, kwa nini asiimarishe huduma hii ya kusaidia wananchi wanaoitaji msaada kama kaka athuman? I am sure serikali inatoa huduma hii, lakini ukiuliza utaambiwa hamna hela. tafadhali rais kiwete weka fedha kwenye hudumahizi . pia uweke watu wasio wezi ku ran hizi programs!
Au mziombe hizo cel pphone companies zisaidie disabled watu huko nje?
Inabidi tusaidie jamii kwa ujumla na sio mtu mmoja mmoja tu. Huyu kaka anhitaji masaada nakubali lakini kuna wengine wengi tu huko nje.
naomba ufikishe ujumbe huu tafadhali.
asante.
Monica.
kaka athumani tatizo lako kubwa wewe ni ajira nimeshafanya kazi na watu wenye hali kama yako tena mshukuru unaweza kuongea wengi wao niliofanya nao hawaongei kabisa. watu kukuchangia ni swala zuri lakini hiyo ni shirt solution na itakuletea usumbufu mkubwa. waombe TSN wakubadilishie mazingira ya kazi ili ufanye kazi ktk mazingira yatakoukuwezesha kufanya kazi yako vizuri. Mungu akubariki.
ReplyDeleteWadau nisaidieni kuna namba ya m-pesa aliitaja 0676298888 ya jamaa anaitwa chris mahundi. Nimetuma fedha lakini inaonyesha namba hii haitambuliki kabisa. Ukipiga wanasema namba hii haipo...Michuzi hebu ulizia vizuri isije kuwa imekosewa. Nimetumia kutuma mchango, inaonekana kama haijawahi kutumika. Please ulizia kaka..ili kama imekosewa irekebishwe haraka
ReplyDelete