Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini,James Bokela (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Massawe Glosery, Jacob Massawe (wa pili kulia) ufunguo wa Bajaj yenye thamani ya sh. mil. 4.7, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa kanda hiyo kwa usambazaji na uuzaji wa bidhaa za TBL.Wanaoshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika Kibaha,Pwani juzi, ni mke wa Massawe, Anna Massawe na Meneja wa Huduma za Biashara wa TBL,Reginald Mosha.
Wafanyakazi wa TBL, wakiangalia Ghala la kisasa la kuhifadhia bidhaa lililojengwa na kampuni ya Massawe Glosery eneo la Mwendapole, wilayani kibaha.
Wafanyakazi wa TBL, wakiwa ndani ya ghala hilo.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...