Mwanahabari wa siku nyingi wa kampuni TSN inayochapisha magazti ya Daily News na Habari leo,Athuman Hamis (katikati) amekutana na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuzungumzia Mustakabali wa maisha yake kutokana na hali yake ya ulemavu alioupata kutokana na ajali ya gari miaka minne iliyopita.Kulia na Kushoto ni Wauguzi wake.
Video ya taarifa yake nzima aliyoitoa leo kwa waandishi wa habari itawajia muda si mrefu.




Ndg. Athumani Hamis Mchawi wa HATIMA YA MAISHA YAKO SI MWINGINE BALI NI BOSI WA MASUALA YA UAJIRI HAPO DAILY NEWS!
ReplyDeleteHatuwezi kuwa na Utawala Bora kwa kuwa na Mabosi kama huyo wa Daily News!
Kuteseka kwa Ndugu Hamis...Hivi huyo Bosi wa TSN Taasisi ni ya Baba yake?
ReplyDeleteKWA NINI ASICHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA KWA KUKALIA HAKI ZA MSTAAFU?
TENA MTUMISHI AKIWA AMEKOMA UAJIRIWA KTK HALI NGUMU YA MASAHIBU YA AJALI KAMA YALIYOMFIKA?