Mdau Nathan Mpangala akiwa kwenye kozi fupi inayoitwa Non-violent Conflict and Social Movement kwenye Chuo cha Tufts University, Massachusetts, USA.kozi hiyo inahusisha waandishi wa habari,wanaharakati kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mdau AvoldJune 26, 2012

    Big up Bro.Nathan

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2012

    Alihudhulia jamani. Kiswahili asilia au vipi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2012

    Mdau asante kwa post yako, ila Kiswahili kilichotumika si fasaha. Hatuna neno "ahudhulia" kwenye Kiswahili, ila lipo neno "ahudhuria". Tunatumia 'r' na sio 'l' kwenye msamiati huu.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2012

    Waging Nonviolent Struggle? Hawa wakubwa mbona wana mambo? Huyu bwana wanamfundisha jinsi ya kuanzisha Nonviolent Struggle kwa manufaa ya nani? Huku mwingine kaenda Ujerumani kwenye Kongomano la Demokrasia Shinikizo, kazi kweli kweli, maandamano na migomo hayatakwisha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...