Mtu mmoja ambaye hakuweza fahamika mara moja jina lake,akiwa amelala pembezoni mwa moja ya barabara za jijini Mwanza huku akiwa ameweka bango la kuhitaji kupatiwa msaada wa matibabu kama linavyojieleza pichani hapo.Picha na Mdau G Sengo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 16, 2012

    Very imaginative.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 16, 2012

    mimi namshauri huyu dada aende KCMC amtafute dokta anaitwa Prof Chigulu, ni mtaalamu anayeweza kumsaidia hilo tatizo. tafadhalini sana mnayemfahmu huyu dada naomba mmufikishie huu ujumbe. aende tuu kcmc then atasaidiwa. akikosa pesa ya matibabu amfuate chief accountant wa hapo KCMC anaitwa Audrey MArielle then atamsaidia hilo tatizo. amawambie ameagiziwa hapo. MUHimu sana naomba afuate ushauri wangu. Pa1 katika Maombi. fuata ushauri wangu kwa imani

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2012

    Kwanini tanzania tusianzishe mfumo wa bima ya afya ambao utamhusisha kila mtu.......yaani kila mtu awe anachangia labda kulingana na pato lake halafu akiugua basi anasaidiwa na huo mfuko.Maanake hii hali inatisha saana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...