Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Mhe.Novatus Makunga (wa pili kushoto) leo amefanya ziara katika makao makuu ya jeshi la polisi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na kuongea na askari polisi wa wilaya hiyo.Pichani mkuu huyo wa wilaya akiwasili akisindikizwa na mkuu wa polisi wilayani hao OCD Isaya Mbughi na maofisa wengine. Pichani chini na askari mbalimbali wakitoa maoni yao katika mkutano wao na mkuu huyo wa wilaya
Home
Unlabelled
MH NOVATUS MAKUNGA AZURU MAKAO MAKUU YA POLISI WILAYANI HAI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






Bro Novatus. Karibu Hai. Sisi wananchi wa Hai tutakupa ushirikiano kamili ili tuendeleze wilaya yetu. J. Swai.
ReplyDeleteMpiganaji Makunga. Tuko pamoja!
ReplyDelete