Spika wa Bunge akisaini kitabu cha maombolezo alipofika nyumbani kwa mtoto wa marehemu Ilala , Dar es salaam kuhani msiba wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa na Naibu Spika wa Bunge katika Bunge la Tanzania kuanzia mwaka 1990 hadi 1995. Marehemu Mathias Kihaule alifariki Jumapili katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya Kichwa na anatarajiwa kuzikwa kijijini kwakwe Ludewa leo.
Mhe. Spika akiwa na mjane wa Marehemu Mathias Kihaule Bi. Leonia Kihaule alipofika kuwafariji Nyumbani kwao Ilala jana jioni. aliyepembeni ni Ndugu wa Marehemu.
Mila zetu ukienda msibani lazima ufunike kichwa na uvae kanga mbona mama yetu hana? kwani hiyo kanga ukiiweka kwenye pochi ni tabu? Tudumishe mila zetu haswa hii hapa
ReplyDelete