Misa ya mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania (TTB), Marehemu Peter Mwenguo, itafanyika leo Alhamisi tarehe 21/06/2012, saa sita mchana katika kanisa la St Peter, Oysterbay, jijini Dar es salaam.
Kwa mujibu wa familia ya marehemu, baada ya misa hiyo kutakuwa na kutoa heshima za mwisho katika viwanja vya KarimnjeeHall (sio tena kanisani hapo kama ilivyotangazwa awali). Mabadiliko haya yamefanywa ili kuruhusu watu wengi wafike kutoa heshima za mwisho kwa gwiji huyu wa mambo ya utalii.
Baadaye msafara utaelekea katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam kwa mazishi.
Baadaye msafara utaelekea katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam kwa mazishi.
Peter, You were such a good friend to many. May the Almighty God Rest your Soul in Eternal Peace, Amen. from Ernest Mnzava
ReplyDeleteWe who had the opportunity to work with peter in Europe he was a great man and a man og God . He served his country well in terms of marketing and preserving the name of Tanzania abroad. RIP
ReplyDeleteAyoub mzee
POLENI SANA WAFIWA,BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE,
ReplyDelete