Redd's Miss World Tanzania,Lisa Jensen (katikati) akivishwa taji hilo na Miss Tanzania,Salha Israel katika hafla fupi iliyomalizika usiku huu kwenye kiota kipya cha maraha cha 327,Mikocheni jijini Dar.kulia ni mshindi wa tatu kwenye kinyang'anyiro hicho,Pendo Laizer .
Tano Bora.
Washiriki wote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2012

    2012 au 2112!!!Shughuliii

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2012

    HIVI SHERIA ZA MISS TANZANIA ZINARUHUSU UWE MSHINDI WA TATU 2006 THEN UGOMBEE TENA 2012, NAONGELEA LISA JENSEN. WAREMBO CHIPUKIZI LINI WATAPATA NAFASI KAMA KINA LISA WANARIPITI MASHINDANO, SWALI KWA WAHUSIKA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2012

    he he he he he sawa sawa mdau hapo juu hii itakua kanyaboya tu hamna loloe

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2012

    Jamani fuatilieni vyombo vya habari kabla ya kulalamika.Washiriki wote hawa kwenye picha walishiriki miss Tanzania miaka ya nyuma.Mwaka huu kamati ya miss Tanzania ilisema mwaka huu mwakilishi wa Tanzania miss world atatokana na washiriki waliowahi kushiriki miss Tanzania miaka ya nyuma.Atakaye iwakilisha Tanzania Miss world mwakani ndiyo atapatikana kwa mashindano yanayoendelea sasa hivi kwenye vitongoji kama juzi ilifanyika miss dar city centre ,na miss kigamboni

    ReplyDelete
  5. jamani sio mwaka 2112 ni mwaka 2012 jamani mnazingua sana makosa madogo yanashusha hadhi bwana michuzi

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2012

    LISA JENSEN:

    Pamoja na malalamiko yetu ukweli wa mambo Lisa bado ni mzuri pia anastahili pongezi kwa kuwa yeye ni jasiri anajiamini, amejitunza kwa vile wengi aliokuwa nao sasa mashavu yamewaporomoka kwa uzee na kamwe hawawezi kuwa na ari, ujasiri wala uwezo wa kusimama na wasichana wabichi wa sasa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...