Home
Unlabelled
Mjanja kapanda bus bila kulipa nauli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilivyoangalia hii picha mimi nimedhani huyu dogo ni mpiga debe.
ReplyDeleteKumbe ni abiria. Tutafika tu.
Ni hayo tu
ni mimi
Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni
Huyu kifo kinamwita.
ReplyDeleteHuyo ni kibaka anajipanga kumpora chochote huyo abiria aliyekaa karibu na dirisha
ReplyDeleteHahaaaa! Ujanja usio na mwisho mwema
ReplyDeletehali ngumu ya maisha bongo inajionyesha wazi tuache kujisifu eti bongo kuna maendeleo sio mkiona majumba marefu basi mkafikiri kila mtu anapata hela za kula.
ReplyDeleteNakubaliana kabisa na Anny."Tue Jun 05, 06:41:00 AM 2012" Huyo kijana ni kibaka na abiria wa dirishani sijui kama atapona! Mimi binafsi niliwahi kuibiwa kwenye daladala kwa style hiyohiyo ya mtu kujifanya amedandia basi, na alipopata mwanya tu akapenyeza mkono na kuiba kipochi kilichokuwa na kila kitu! Kwa kweli watu kama hao sio wa kuwachekea, bora maafa yamkute mwenyewe sababu anayatafuta, lakini anaweza kukupa hasara usiyoitarajia wewe abiria.
ReplyDeleteHuyo yuko salama kuliko hata hao abiria walio ndani ya basi,kwani unaweza kupanda hilo basi na ukapata kiti cha kukaa,lakini ukatafuta jinsi ya kuweka miguu yako salama,kwani huku basi linaenda wewe utakua unaangalia lami chini ya miguu yako.
ReplyDelete