Kamera ya Globu ya Jamii imemnasa kijana huyu Maeneo ya Buguruni sheli jioni ya leo akiwa amedandia daladala kwa nyuma ikiwa ni sehemu ya ujanja wake wa kupanda daladala hilo mpaka anapokwenda bila ya kulipia nauli,jambo ambalo linaweza hatarisha maisha yake wakati wowote.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2012

    Nilivyoangalia hii picha mimi nimedhani huyu dogo ni mpiga debe.
    Kumbe ni abiria. Tutafika tu.

    Ni hayo tu

    ni mimi

    Mr Nyamaimewahi Kunikabashingoni

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2012

    Huyu kifo kinamwita.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2012

    Huyo ni kibaka anajipanga kumpora chochote huyo abiria aliyekaa karibu na dirisha

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2012

    Hahaaaa! Ujanja usio na mwisho mwema

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2012

    hali ngumu ya maisha bongo inajionyesha wazi tuache kujisifu eti bongo kuna maendeleo sio mkiona majumba marefu basi mkafikiri kila mtu anapata hela za kula.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2012

    Nakubaliana kabisa na Anny."Tue Jun 05, 06:41:00 AM 2012" Huyo kijana ni kibaka na abiria wa dirishani sijui kama atapona! Mimi binafsi niliwahi kuibiwa kwenye daladala kwa style hiyohiyo ya mtu kujifanya amedandia basi, na alipopata mwanya tu akapenyeza mkono na kuiba kipochi kilichokuwa na kila kitu! Kwa kweli watu kama hao sio wa kuwachekea, bora maafa yamkute mwenyewe sababu anayatafuta, lakini anaweza kukupa hasara usiyoitarajia wewe abiria.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2012

    Huyo yuko salama kuliko hata hao abiria walio ndani ya basi,kwani unaweza kupanda hilo basi na ukapata kiti cha kukaa,lakini ukatafuta jinsi ya kuweka miguu yako salama,kwani huku basi linaenda wewe utakua unaangalia lami chini ya miguu yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...