Rais wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa ZANU PF Comrade Robert Mugabe akihutubia katika mkutano huo

 Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Wilson Mukama akihutubia kwenye Mkutano huo. wanaofuatia ni  Katibu Mkuu wa ANC ya Afrika Kusini Ndg. Gwede Mantashe na ayefuatia ni Katibu Mtendaji Mkuu wa ZANU PF Ndg. Dydimus Mutasa na Rais wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa ZANU PF Comrade Robert Mugabe.
Kusoma maazimio ya mkutano huo BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...