Jinsi hifadhi yamisitu ya asili NILO ulivyoshona pia majengo ya ofisi za hifadhi. ndani ya msitu ni kiza hata ikiwa mchana jinsi ulivyoshona na hali ya hewa si zaidi ya nyuzi joto 18 ma  mvua hunyesha  karibu kapindi chote cha mwaka na ardhi yake ndani ya msitu ni unyevunyevu daima. 
Picha na Fatuma Matulanga wa TBC, Tanga

 Chura ni baadhi ya viumbe hai  wengi wanaoishi msituni humo
 Juu ni kinyonga mwenye pembe na chini ni kinyonga asiye na pembe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...