Kaka Michuzi, Habari za majukumu.
kwanza napenda kukupa pongezi nyingi sana kwa kazi yako nzuri ya kutuletea habari kwa kupitia hii glob yetu hii ya Jamii. Anko naomba unitundikie haka katangazo kangu kadogo.
Nauza Smartphone mpya aina ya Sony Experia S.
Bei ni Tsh. 750,000/ na ina waranty ya mwaka mmoja. maelewano yanawezekana kwa mnunuaji ambaye ni serious. Simu ya aina hii inauzwa Sh. 950,000 Dar es salaam mitaa ya Posta na Samora.
wasifu wake:
mitandao: GSM na 3G
kamera: 12 Megapixel!, vilevile ina kamera ya mbele
Memory: 32 GB
Processor: ina processor mbili zenye 1.5GHz
maelezo zaidi ya kiufundi unaweza yapata kupitia hii tovuti:
yeyote amabaye yupo interested awasiliane nami kupitia hii namba
wasalaam
Mdau



mdau,
ReplyDeletekupata response za uhakika na wanunuzi pia weka tangazo lako hapa: www.zoomtanzania.com
all the best
Mdau,
ReplyDeletekwa wateja na wanunuzi wa uhakika, pia weka tangazo lako hapa: www.zoomtanzania.com
all the best
Mdau kwanza tayari ushatangaza kama imeibiwa huku UK maana ndio kazi yenu mnajidai imeibiwa ili mlipwe sim au hela nyengine kisha mnaziuza,ujue siku izi zinajulikana wapi simu zipo
ReplyDelete