Kaka Michuzi, Habari za majukumu.
kwanza napenda kukupa pongezi nyingi sana kwa kazi yako nzuri ya kutuletea habari kwa kupitia hii glob yetu hii ya Jamii. Anko naomba unitundikie haka katangazo kangu kadogo.

        Nauza Smartphone mpya aina ya Sony Experia S.


Bei ni Tsh. 750,000/ na ina waranty ya mwaka mmoja. maelewano yanawezekana kwa mnunuaji ambaye ni serious. Simu ya aina hii inauzwa Sh. 950,000 Dar es salaam mitaa ya Posta na Samora.
wasifu wake:
mitandao: GSM na 3G
kamera: 12 Megapixel!, vilevile ina kamera ya mbele 
Memory: 32 GB
Processor: ina processor mbili zenye 1.5GHz 
maelezo zaidi ya kiufundi unaweza yapata kupitia hii tovuti: 
yeyote amabaye yupo interested awasiliane nami kupitia hii namba
wasalaam
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 15, 2012

    mdau,
    kupata response za uhakika na wanunuzi pia weka tangazo lako hapa: www.zoomtanzania.com

    all the best

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 15, 2012

    Mdau,

    kwa wateja na wanunuzi wa uhakika, pia weka tangazo lako hapa: www.zoomtanzania.com

    all the best

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 15, 2012

    Mdau kwanza tayari ushatangaza kama imeibiwa huku UK maana ndio kazi yenu mnajidai imeibiwa ili mlipwe sim au hela nyengine kisha mnaziuza,ujue siku izi zinajulikana wapi simu zipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...